SINGIDA KUMEKUCHA LEO SHEREHE ZA CCM KUTIMIZA MIAKA 39.
Leo mjini Singida katika kuadhimisha miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM, maazimisho hayo yanayofanyika mjini Singida pia yameambatana na tukio kubwa la kuwapokea waliopata kuwa wabunge wa CHADEMA ambao ni Bi Rachael Mashishanga na Christowajj Mtinda Lisu ambaye pia ni dada wa Tundu Lisu bunge wa Mkalama Singida.
Post a Comment