Vijana wa Chipukizi wa CCM wakishangilia miaka 39 ya kuzaliwa kwenye uwanja wa Namfua
Umati wa wakazi wa Singida mjini wakishangilia kilele cha miaka 39 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi kwenye uwanja wa Namfua.
Umati wa wakazi wa Singida waliofurika kusherehekea maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa mkoa wa Singida kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mkoa wa Singida kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM kwenye uwanja wa Namfua.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa mkoa wa Singida ambapo ameandika historia kwenye maisha yake kwani alianza kazi mkoa huo .
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Watu 67 Wauawa Katika Shambulizi Sudan
2 hours ago
Post a Comment