Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DIVA WA CLOUDS AANIKA MAHUSIANO YAKE MAPYA


Divathebawse amuamua kuwa muwazi kupitia mtandao wa Instagram na kuweka wazi kuwa yupo single muda sasa...Diva kwa muda mrefu alikuwa kwenye mahusiano na mwanamuziki Crazy GK kutoka East Coast Upanga, Kwa ujumbe huu aliopost Insta ina maanisha hayupo tena na GK


 "Nikipost Picha zangu mambo ya shemeji shemeji guys sina Mahusiano na Mtu yoyote , been single for a while ' yaan I do sex for fun ' when i feel like doin it , nikisema i love you doesn't mean a thing , i love kila Mtu , Kila Mtu .. but Kimapenzi Mhhh ... No strings attached, ataenioa ndio huyo sasa atakuwa My one and Only ... so sio Shemeji wa Mtu yoyote ' stil searching tho for the Better Man , Mwanaume ataenijali na kunipa dunia yote .. Kama wewe ni One of them Pls , Drop comment yako. Natafuta Bwana. Kama Mna Kaka Zenu huko Hook me up Basi Guys .. awe handsome tho , awe loadedddd .."Divathebawse
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top