Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

IDRISA AHAMIA KWA LULU ... CHARTS ZAO ZANASWA ...


Baada ya Lulu Michael Kuhusishwa kwenye ugomvi wa Wema na Idris ...Wema na Idriss Wamechukizwa na Kitendo hicho na kuandika yafuatayo:


From @wemasepetu - Leave Her out of This... Please....!!!! @elizabethmichaelofficial Lala kwa Amani baby... Nimesema mimi... People dont know mwanzo wa vitu ila wanaongea as if wanayajua... Mi ntaendelea kukaa kimya ila muacheni huyu mtoto please...

Idriss naye Akaongezea Haya :





From @idrissultan - Acheni hizo lakini msiwe hivyo mimi na Wema we have our issues to solve na nina kiburi na yeye ana kiburi but sio ushindani nani anajua zaidi. So mnapojaribu kuingiza watoto wa watu kama @elizabethmichaelofficial my pure sister and friend ninudhalilishaji huu. Siku haya yameisha mtajiangalia kwenye vioo muone aibu kwa haya mambo tunayochochea. I believe mmepitiwa tu na hii sio nia yenu basi Mwenyezi Mungu awe nanyi katika yote mtakayosema na kutenda
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top