Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HABARI MPYA JUU YA MSIBA WA MSANII JOHN WOKA



Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Ijumaa hii, Kaka wa marehemu aitwaye Omari amezungumzia mipango ya mazishi.

“Ametukoka alfajiri ya leo baada ya madaktari kushindwa kutoa kile kitu ambacho kilimchoma kwa sababu damu ngingi sana zilimwagikia kichwani. Kwahiyo wakawa wanashindwa kumfanyia marekebisho zaidi kwa sababu alikuwa bado ajazinduka ndani ya siku tatu mpaka leo anafariki. Tataribu za msiba kwa leo tutakutana Ilala Bungoni pale kwa baba mdogo wakati tukijiandaa kesho kuusafirisha mwili wa marehemu nyumbani kwao Tanga kwa ajili ya mazishi,” alisema Omari.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top