Jeshi la Polisi kitengo cha majini limekamata tani zipatazo 20 za
mafuta ya Dizeli yaliyokuwa katika Jahazi lililokuwa kando ya bandari ya
Dar es Salaam likijiandaa kwa safari ya kwenda Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo hicho cha polisi cha wanamaji Bwana Mboje John
Kanga amesema watu watano wanashikiliwa kuhusiana na tukio hilo na
uchunguzi zaidi unaendelea.
Post a Comment