|
Leo hii nikimjulia hali mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry ambaye amelazwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.Natanguliza maombi Mungu amsaidie kupona haraka ili arejee katika shughuli zake za kila siku. |
on Wednesday, February 10, 2016
Post a Comment