Loading...
BREAKING NEWSSS .... CHADEMA KUPITIA UKAWA WABEBA KITI CHA UMEYA WA JIJI DAR
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia mwamvuli wa UKAWA kimeshinda nasafi ya Umeya wa Jiji la Dsm.
mgombea wa Chadema Charles Isaya Mwita amepata kura 84 na wa CCM Omary Yenga amepata kura 67 na Kura 7 zimeharibika.
Uchaguzi wa leo unahitimisha safari ndefu ya umeya wa Jiji la dsm amabapo chama tawala CCM wameweka pingamizi kwa zaidi ya Mara 4 na jana Rais Magufuli aliingilia kati na kuamuru haraka Uchaguzi wa Umeya Ufanyike kama ulivyopangwa.
zifuatazo ni Picha mbali mbali toka katika Ukukumbi wa Kareemjee dsm leo.
POLISI WAKIIMARISHA USALAMA NJE YA UKUMBI
WAJUMBE WAKIJIOROZESHA KABLA YA KUINGIA UKUMBINI KUPIGA KURA
VIONGOZI WA CHADEMA WAKIWA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEEE
WAJEMBE WAKIINGIA UKUMBINI MDA MCHACHE KABLA YA UCHAGUZI
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
Kwa Undani4 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment