Loading...
BREAKING NEWSSS ... TAREHE MPYA YA UCHAGUZI WA UMEYA WA JIJI DAR YATAJWA
Habari za hivi punde kutoka Arusha, Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene (pichani) amesema kuwa uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar utafanyika tarehe yoyote isizidi tarehe 25.3.2015.
Kuhusu nani anasifa za kupiga kura ya kumchagua Meya, waziri Simbachawene amesema mwenye jukumu la kusema nani ana sifa ni vyama vya siasa vyenyewe ambavyo vinatakiwa kuwasilisha majina ya wabunge na madiwani ambao wanasifa hizo.
Chanzo: Mkutano wa waziri na waandishi wa habari wa mkoa wa Arusha uliofanyika asubuhi hii.
Post a Comment