Mwanamuziki Mwenye mafanikio makubwa katika mziki wa Bongo flava ametuma salamu za pongezi kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika haya:
Mafanikio hujaga kwa juhudi na kuto kukata tamaa... Hongera sana my brother @PaulMakonda kwa kuchaguliwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam... nakutakika kila lenye kheri kwenye kuhakikisha Dar es salaam yetu Inang'ara @PaulMakonda
Post a Comment