Kumetokea ajali ya basi la Leina Tours lililoanguka maeneo ya Kimara Bucha, Dar es salaam na taarifa rasmi zinasema lilikua likitokea Kahama Shinyanga kuja Dar es salaam ambapo idadi ya waliofariki haijatolewa ila waliojeruhiwa ni zaidi ya 30 na wamekimbizwa Mwananyamala Hospitali na Muhimbili.
on Monday, March 14, 2016
Post a Comment