Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KINACHOENDELEA ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI KAGERA

 Waziri Mkuu, Kassim majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kwanda  cha maji cha Bunena Spring Water akiwa akika ziara ya mkoa wa Kageza Machi 13, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi mkubwa wa maji wa Bunena mjini Bukoba ulio chini ya mamlaka ya maji ya mji huo BUWASA  akiwa katika siku ya kwanza  ya ziara ya mkoa wa Kagera machi 13, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mlkuu)
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua  kiwanda cha Maji   ya Bunena Spring Water  kilichopo mjini Bukoba Machi 13, 2016. Alikuwa katika sik ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Kagera.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua uzalishaji wa maji ya  kiwanda cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa aktika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016.  Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la Bukoba,Method Kilaini. (Picha na Ofisi ya waziri Mkluu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo mafupi kuhusiana na maji hayo ya  kiwanda cha maji ya Bunena Spring Water cha Bukoba mjini akiwa aktika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa waKagera Machi, 13, 2016.  Kulia kwake ni Askofu wa jimbo la  Bukoba,Method Kilaini. (Picha na Ofisi ya waziri Mkluu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top