Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WASANII WA BONGO MOVIE WAMFANYIA BONGE MOJA LA PARTY MAKONDA LA KUMPONGEZA

 Mastaa mbalimbali wakiwemo wa Bongo Movies wakijisevia msosi wakati wa hafla hiyo.

WASANII wanaounda Kundi la Bongo Movie wakiongozwa na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ usiku wa kuamkia leo wamefanya sherehe fupi ya kumpongeza Mhe. Paul Makonda aliyeapishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Shughuli hiyo iliyohudhuriwa na mastaa mbalimbali wa filamu ilifanyika kwenye hoteli ya Rodizio iliyopo maeneo ya Masaki jijini Dar, ambapo miongoni mwa wasanii waliokuwepo ni Steve, Jacob Steven ‘Jb’, Aunt Ezekiel, Blandina Chagula ‘Johari’ na wengineo.

Kwa upande wake, Mhe. Paul aliwashukuru wasanii hao kwa kutambua mchango wake na kumuandalia hafla hiyo.



 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisalimiana na msanii wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel.

 Blogger William Malecela ‘Lemutuz’ naye akichangia mada wakati wa hafla hiyo.

 Steve Nyerere akitoa neno katika hafla hiyo.



 Mwanamuziki Mrisho Mpoto naye akitoa nasaha zake kwa Mhe. Paul Makonda.

 Steven Jacob ‘JB’ akiongoza sala ya ufunguzi wa hafla ya kumpongeza Mhe. Paul Makonda.

 Paul Makonda akichukua chakula katika hafla hiyo ya kumpongeza.

 RC Paul Makonda akiongea na mastaa mbalimbali wa Bongo katika hafla hiyo ya kumpongeza.

 Mboni Masimba akimpatia Paul Makonda zawadi ya keki.


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top