Loading...
AJALI MBAYA YAUA WATU 7 FAMILIA MOJA KIBADA KIGAMBONI
Ajali imetokea Kibada Kigamboni sasa hivi, Picha iyo, Ajali imehusisha gari aina ya MAHINDRA-SCOPIO, ilikuwa ikitokea Mji Mwema inaelekea Kibada. Imevamia matofali yaliyo pembezoni mwa barabara mbele ya nyumba ya ghorofa. Inasemekana gari hiyo ilibeba watu wa familia moja na wamefariki watu 7 watoto 3 na watu wazima 4 katika ajali apa Kibada - Kigamboni ni wahindi.
Post a Comment