Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Seattle, WA, Bwn. Mutta (kushoto) akiwa na mkewe wakiangalia majina yao huku Bi. Asha Nyang'anyi (kulia) akijaribu kuwahudumia.
Salum kutoka California akikabidhiwa beji na kabrasha lenye jina lake mara tu alipowasili kwenye hotel ya Hyatt Regency Dallas kwenye kongamano la DICOTA 2016 ambalo mwaka huu linafanyika Dallas nchini Marekani.
Mke wa Balozi Bi. Marustela Masilingi akiwa katika picha ya pamoja na Muzo, mwanafuzi wake wa darasa la tano shule ya msingi ya Mapambano ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Mhe. Balozi Wilson Masilingi akibadilishana mawili matatu na wageni waliofika kwenye mchapalo
Balozi Wilson Masilingi na mkewe Marystela wakiongea na mgeni wao Balozi Anisa Mbega.
Post a Comment