Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MSANII LULU AVISHWA PETE YA UCHUMBA

13092356_1705147486429317_298918170_n
Kuna matukio mawili tu makubwa maishani yanayopelekea kidole cha chanda cha mwanamke kipate mgeni – pete, kuchumbiwa ama kufunga ndoa.

Je! Elizabeth ‘Lulu’ Michael amefanya moja kati ya hilo? Ni kwasababu picha zinaonesha kidole chake kikiwa na pete hali ambayo imewafanya watu wengi wajiulize maswali.
Kwenye picha moja, Lulu anaonekana akiionesha pete hiyo na kuandika: Simplicity z the key.
Kwenye picha nyingine ameandika: Pale unaposikia Kwa…Kwa…Kwa…Kwa Ya Rihanna wakati WA kupiga picha #simplicityisthe
12976458_1057301794334969_1338665803_n

CHANZO na Bongo5.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top