Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete ameongoza kikao chake cha mwisho cha kamati kuu ya chama hicho (CC) na kuwakebehi waliodhani chama kingeanguka kipindi cha uongozi wake.
Kikwete amesema kuwa waliodhani CCM ingekufa na kujiandaa kutoa salamu za rambirambi imekula kwao.
"Wapo wale waliodhani kwamba wangeibuka lakini hawakuibuka na hawataibuka," amesema Kikwete wakati akifungua kikao hicho".
PICHA NA EDWIN MJWAHUZI MCL
on Thursday, July 21, 2016
Post a Comment