Taarifa za mauaji wilaya kiteto Mkoa Manyara binti knobs ajulikanae kwa jina la Eva aliyekuwa akifanya kazi Pccb (Takukuru) ameuawa na mtu asiyefahamika nyumbani kwake na Kulawitiwa na kisha Kuuwawa. upelelezi bado unaendelea na Mshukiwa mmoja mikononi mwa polisi kwa upelelezi zaidi. M/mungu ailaze roho ya marehemu peponi Amin...
Picha ya Marehemu Eva Enzi za Uhai wake..
Post a Comment