Loading...
BREAKING NEWS.... HATIMAYE MWIZI MAARUFU WA MAGARI ALIYELIZA WENGI ANASWA
Hatimaye Mwizi maarufu wa magari maeneo ya Mikocheni/Barabara ya Rose Garden ametambuliwa kwa jina la Ramadhani Mbando baada ya sura yake na gari lake kunaswa na Camera.
Ametia hasara watu wengi sana.Kama inavyoonekana pichani ana Gari aina ya Rav4 na baada ya namba T 129 DEZ kupelekwa TRA zikarudi na jina lake "Ramadhani Mbando" na namba ya simu 0714546035.
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
Kwa Undani3 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment