kwa taarifa zilizo patikana watekaji ni kikundi cha wahasi wa MAIMAI ambao baada ya kuyateka magari hayo waliwashusha madereva na kuwapeleka porini na kisha kuchoma moto magari 4 ambayo yote yanamilikiwa na Dewj, Wahasi hao wametoa masaa 24 kuanzia jana saa 10 jioni walipwe Fedha kiasi cha Dola 4,000 kwa kila dereva..
Pia Muungwana Blog imefanikiwa kuongea na Mtanzania aliye nusurika kutekwa na wahasi hao amesema hali sio nzuri kabisa wanaiomba serikali ya Tanzania kuchukua hatua za kuwa saidia Watanzania walio tekwa huko..
Hii ni Barua ya Uthibitisho wa Serikali ya TANZANIA..
ONA PICHA ZA SEHEMU YA TUKIO..
Chan
Post a Comment