Wabunge wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamesusia mechi ya mpira wa mguu kati ya timu ya wabunge na Kamati ya Amani ya viongozi wa dini wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa madai kuwa kuna ajenda ya siri kwenye mchezo huo
on Monday, September 12, 2016
Post a Comment