Lushoto. Matukio ya ujambazi yanayoendelea wilayani hapa Mkoa wa Tanga yanadaiwa kusababishwa na malezi mabovu kwa vijana ambao huondoka nyumbani kwa kisingizio cha kwenda kusoma elimu ya dini.
Ofisa Tawala Wilaya ya Lushoto, Godchance Makyao alitoa madai hayo jana katika Kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.
Alisema Serikali haikatazi elimu hiyo bali inapinga na kulaani watu wanaotumia mwanya huo kupata mafunzo ambayo athari zake ni wizi na mauaji.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA3 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment