Loading...
NHC waendelea kutekeleza agizo la Rais Magufuli ... Waendelea na timua timua
Picha za matukio mbalimbali wakati wa utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyeagiza kuondolewa kwa wadaiwa sugu wa kodi wa NHC na hapa ilikuwa kwa aliyekuwanMpangaji wa Shirika la Nyumba NHC Katika Nyumba Plot Namba 2008/93 iliyopo Mtaa wa Indira Ghandhi jijini Dar es salaam kwa kushindwa kulipa kodi ya pango.
Picha, habari kwa hisani ya NHC
Post a Comment