Gazetila Mwananchi Leo limeripoti kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) imemfuta kazi mwasibu wake baada ya kubainika ana utajiri wenye utata ikiwamo nyumba 7 za ghorofa na viwanja 25, ambavyo havijajulikana alivipataje.
Loading...
Post a Comment