TANZIA:
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu (ccm) Zanzibar *Sarehe Radhamani Feruz* Amefariki Dunia leo katika Hospital ya Agha khan. Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
Maziko ya bwana FEROUZ yatakua saa 7 msikiti wa mohammad bweni na kuzikwa kwerekwe.
on Tuesday, November 8, 2016
Post a Comment