Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) limepeleka maombi EWURA ya kupandisha Bei ya Umeme kwa takribani asilimia 18.19 ifikapo mwaka 2017.
- Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Felchismi Mramba amesema shirika hilo limefanya tathmini na kujiridhisha kuwa hakuna hasara itakayopatikana endapo bei hiyo itatumika.
on Tuesday, November 8, 2016
Post a Comment