Watu wanne akiwemo mama na mtoto wanashukiwa kufukiwa na kifusi kufuatia kubomoka kwa ukuta wa upande wa jengo la ghorofa 3 huko Mji Mkongwe, Zanzibar. juhudi za kuokoa waliofukiwa na kifusi hicho yaendelea.Chanzo cha kuporomoka kwa ukuta huo bado hakijafahamika.
Juhudi za kuokoa watu waliofunikwa na kifusi baada ya kuanguka kwa ukuta wa jengo hilo zikiendelea, Mji Mkongwe Zanzibar mchana huu.
Muonekano wa Jengo hilo baada ya kuporomoka.
Loading...
Post a Comment