|
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu wa Hamasa wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Kilimanjarona Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Edwin Mselle, wakati wa ibada na kuaga mwili, wakati wa mazishi, yaliyofanyika leo Wilayani Kibosho, mkoani Kilimanjaro. Edwin ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa udaktari, mwaka wa nne katika Chuo Kikuu Kishiriki cha KCMC, ni miongoni mwa viongozi wanne wa CCM waliofariki kwa ajali ya gari, wakati waitoka kwenye maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, Februari 5, 2017 ambapo Kinana ameongoza kwenye mazishi yao wote. |
|
Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu wa Hamasa wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Kilimanjarona Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, Edwin Mselle, wakati wa ibada na kuaga mwili, wakati wa mazishi, yaliyofanyika leo. |
|
Marehemu Edwin Mselle enzi za uhai wake |
|
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadick kwenye mazishi hayo |
on Sunday, February 12, 2017
Post a Comment