Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Matukio ya Rais Magufuli ya Leo Ikulu



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza  kamishna Jenerali Dkt. Anna Peter Makakala , Jenerali wa Uhamiani Tanzania baada  ya kumvisha cheo cha Ujenelali Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha kamishna Jenerali Dkt. Anna Peter Makakala kuwa Jenerali wa Uhamiani Tanzania Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Rogers William sianga kuwa kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Omar Yusuph Mzee kuwa Balozi Nchini Algeria Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Josep Sokoine  kuwa Balozi Nchini Ubelgiji Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Grace Mgovano kuwa Balozi Nchini Uganda Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Viongozi wateule wakila kiapo za maadhili ya utumishi wa umma 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanazani Mhe. Samia Suluhu Hassan Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es salaam na viongozi mbalimbali wa Serikali baada ya kuwapisha Kamshna wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na Dawa za Kulevya, kamishna Jenerali wa Uhamiani, na Mabalozi watatu. Februari 12,2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kuwapisha Kamshna wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na Dawa za Kulevya, kamishna Jenerali wa Uhamiani, na Mabalozi watatu. Februari 12,2016
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top