Loading...
Rais Magufuli atoa mwelekeo mpya vita dawa za kulevya
*WAZIRI MKUU, MAWAZIRI KUONGOZA MAPAMBANO DAWA ZA KULEVYA*
#Rais Magufuli:Wewe Waziri Mkuu sasa ndio mwenyekiti wa mapambano haya.Ingekuwa sheria haijasema ningekuwa Mwenyekiti mimi mwenyewe;
#Rais Magufuli: Na nyie mawaziri sasa mkafanye kazi.Msiwe wanyonge.Kafanyeni kazi bila kumuonea mtu.Tumieni sheria namba ya mwaka 2015.
Post a Comment