Chevrolet G20 Van ni gari ambayo ilitengenezwa kwa mara ya kwanza nchini Marekani mwaka 1961 chini ya kampuni ya General Motors. Kwa sasa gari hii kwenye mtandao wa ebay, used inauzwa dola 23,500 ambayo ni sawa na zaidi ya milioni 45 za Tanzania. Angalia video ya gari hiyo.
Loading...
Post a Comment