BAADA ya kuwa ‘topic’ kwenye sherehe ya 40 ya mtoto wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Nillan iliyofanyika hivi karibuni, Muigizaji Jacqueline Wolper ameibuka na kusema katika maisha yake yote hajawahi kulewa.
Licha ya kuonekana kupoteza balansi hadi kufi kia hatua ya kutaka kuanguka alipokuwa akiwachana watu wanaomponda wifi yake, Zarinah Hassan Zari ‘The Boss Hassan Zari ‘The Boss Lady’ kiasi cha watu kuamini hata maneno yaliyomtoka hakuyadhamiria bali ni pombe, Wolper alisema siku hiyo hakuwa amelewa na alichokiongea alimaanisha.
“Japo nakunywa lakini siku ile sikulewa na sijawahi kulewa. Niliyoyasema pale nilidhamiria maana watu wamekuwa wakimponda Zari kwa kuedit picha zake kitu ambacho si cha kweli na mimi lazima nimtetee yule ni mke wa bosi wa mume wangu,” alisema Wolper
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA9 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment