Loading...
Aliyoyasema leo Rais Magufuli kutoka kiwanda cha Dangote Mtwara
"Kuanzia leo nataka Dangote apatiwe eneo la kuchimba makaa ya mawe achimbe mwenyewe ,nataka leseni zote ziwe zimekamilika ndani ya siku 7,
Waziri upo katibu mkuu yupo."-JPM
"Hii kampuni ya Tancol ikiwezekana wafukuzwe moja kwa moja". - JPM
"Gesi Imetoka mtwara mpaka Daresalaam lakini haijafika kwenye kiwanda cha Dangote kilomita kumi tuu kutoka gesi ilipo". JPM
"Nataka ile gesi isipitie kwa mtu mwingine ,nataka gesi ifike kwenye kiwanda cha Dangote ifikapo jumatano wiki ijayo."- JPM
"Dangote anataka kuuza cement kwa bei isiyozidi 10,000/= inawezekana kuna watu wanamuhujumu kwa maslahi yao."-JPM
"Madereva wa Tanzania ni waaminifu mno na hivi tumezuia na viroba watafanya kazi vizuri."- JPM
"Magari haya yalikaa bandarini kwa miezi miwili nilipopiga simu kesho yake yakatoka hapo nikagundua kuna tatizo kubwa". -JPM
"Viongozi wenzangu msisubiri kila kitu mpaka mm niseme matatizo mengine tatueni wenyewe". JPM
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
Kwa Undani5 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo9 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-



Post a Comment