Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS .... Ajali mbaya ya mabasi mawili na fuso moja yamegongana USO kwa USO na kutumbukia korongoni




Ajali mbaya! Magari ya Abood na Happy nation kutoka Mbeya kwenda Dar gari hizo zimepata ajali mlima kitonga muda huu na zimejeruhi.

Hii ni baada ya abood kukosa brek na kuligonga fm ambalo halikuanguka,likaigonga fuso iliyokuwa imebeba ndizi na kutumbukia korongoni baadae likaigonga happy national na zote kutumbukia korongoni
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top