Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Magufuli aanza ziara ya siku 4 mikoa ya kusini

Dar es Salaam. Rais John Magufuli, leo (Alhamisi) ameanza ziara ya kikazi ya siku 4 katika mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara.

Katika ziara hiyo Rais Magufuli atafungua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara.

Leo asubuhi ataweka jiwe la msingi la kiwanda cha kutengeneza vigae (Tiles) cha Tanzania Goodwill Ceramic Tiles Ltd  kilichopo Mkuranga mkoani Pwani na baadaye ataelekea mkoani Lindi.

Kesho ataendelea na ziara yake mkoani Lindi na keshokutwa ataelekea  Mtwara.

----------------

Piga ndege wawili kwa jiwe moja, ambapo utapata OFFERS mbili za kutangaza


Mosi; Kwenye blog http://www.ndgshilatu.blogspot.com ambapo litaweka kwenye USO wa blog pamoja na kurushwa Mara kwa Mara kama post ya habari.


Pili; Kama haitoshi tangazo lako tutalitangaza pia kupitia akaunti za FaceBook na Twitter za Blog hii.


Kwa kutangaza nasi biashara ama huduma yako itawafikia zaidi ya Watazamaji 50,000+ na zaidi ya nchi 120+ wanaozitembelea Blog na akaunti  hizi kila siku.


Kutokana na hii ni wazi kuwa Tangazo lako litawafikia watu wengi zaidi Duniani ndani ya muda mfupi


Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia e-mail pbuyegu2@gmail.com


Offer hii itadumu kwa muda mfupi tu ila tangazo lako litawekwa hewani kwa muda wa mwezi mzima.



Changamkia fursa hii adimu uimarishe Biashara yako.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top