Rais Magufuli amempa siku 28 Meneja wa Idara ya Maji kuhakikisha maji yanapatikana Ikwiriri. Akishindwa atamchukulia hatua.
Rais Magufuli, leo March 2, 2017 ameanza ziara ya kikazi ya siku 4 kwenye mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara, atafungua miradi ya maendeleo.
Katika ziara hiyo Rais Magufuli atafungua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara.
Leo asubuhi ameweka jiwe la msingi la kiwanda cha kutengeneza vigae (Tiles) cha Tanzania Goodwill Ceramic Tiles Ltd kilichopo Mkuranga mkoani Pwani na emeelekea mkoani Lindi.
Kesho ataendelea na ziara yake mkoani Lindi na keshokutwa ataelekea Mtwara.
Xxxxx
Xxxxx
ambapo utapata OFFERS mbili za kutangaza
Mosi; Kwenye blog http://www.ndgshilatu.blogspot.com ambapo litaweka kwenye USO wa blog pamoja na kurushwa Mara kwa Mara kama post ya habari.
Pili; Kama haitoshi tangazo lako tutalitangaza pia kupitia akaunti za FaceBook na Twitter za Blog hii.
Kwa kutangaza nasi biashara ama huduma yako itawafikia zaidi ya Watazamaji 50,000+ na zaidi ya nchi 120+ wanaozitembelea Blog na akaunti hizi kila siku.
Kutokana na hii ni wazi kuwa Tangazo lako litawafikia watu wengi zaidi Duniani ndani ya muda mfupi
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia e-mail pbuyegu2@gmail.com
Offer hii itadumu kwa muda mfupi tu ila tangazo lako litawekwa hewani kwa muda wa mwezi mzima.
Changamkia fursa hii adimu uimarishe Biashara yako.



Post a Comment