Loading...
Home » Unlabelled » Rais Magufuli apigilia msumari wa mwisho sakata la Makonda .... Hivi ndivyo alivyosema ....
Rais Magufuli apigilia msumari wa mwisho sakata la Makonda .... Hivi ndivyo alivyosema ....
"Makonda chapa kazi!! Mimi sipangiwi nani akae wapi, mimi najiamini. Naomba Watanzania tusijisumbue na mambo yasiyo ya msingi" - Mh Rais Magufuli.
"WaTanzania tumejikita sana kwene Maswala ya Umbea, ambayo hayatupunguzii njaa, hayatupunguzii umaskini, hayatupunguzii matatizo ya elimu
Mnajisumbua na vipost vyenu, kana kwamba mnanipangia mimi, mimi sipangiwi tena ukinipangia ndio kabisa naacha, mimi ndio Rais hakuna wa kunipangia cha kufanya, nilipoenda kuchukua form hakuna alienipangia
Hakuna wakunipangia nani nimuweke wapi, mimi ndo napanga fulani anakaa wapi, kwahiyo "Makonda" wewe piga kazi hapa kazi tu... achana na hayo yanayosemwa kwenye mitandao ww piga kazi tu... Hapa kazi tu! Hakuna wa kunionyesha mimi njia ya kupita, chama changu cha CCM kilishanionyesha njia!" - Rais Magufuli
Post a Comment