Mzee Paul Sozigwa (pichani), aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Rais katika serikali ya Awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Nyerere amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Mzee wetu Paul Sozigwa mahali pema peponi. Daima atakumbukwa kwa uzalendo wake na utumishi uliotukuka.
Post a Comment