Loading...
Vigogo wazidi kuikacha Chadema na kuhamia CCM
Solomon L.Laizer diwani kata ya ngabobo wilayani Arumeru kwa Ticket ya chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) amejiuzulu hivi punde.
Katika barua yake kwa mkurugenzi wa halmashauri ya meru, Laizer anakiri kuridhishwa na heshima kubwa Rais magufuli aliyoiletea Tanzania, na kuwa kuendelea kukaa huko alipokuwepo ni kuisaliti nafsi yake.
Awali katika mahojiano,Laizer anampongeza mkuu wa wilaya ya Arumeru ndg Alexander Pastory Mnyeti kwa kazi ya heshima anayoifanya na kumuomba amfikishie salaam kwa rais kwamba wananchi wa ngabobo wanuelewa sasa kuliko wakati wowote.
BLOG RAFIKI
-
-
Kwa Undani1 hour ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment