Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi, hatimaye mkali wa Bongo Fleva, Alikiba ameiachia video mpya ya ngoma yake mpya ya “Seduce Me”.
Alikiba ambaye ni mkurugenzi na sehemu ya wamiliki wa kampuni ya Rockstar4000 Music Entertainment and Rockstar Television inayojishughulisha na utengenezaji wa vipindi vya mastar tofauti kutoka nchi mbalimbali ameachia Video yake leo Agosti 25, 2017.
==>Itazame hapa
Post a Comment