Loading...
Makatibu Mikoa UVCCM Wapigwa msasa
*27/08/2017 Mkoa wa Dar Es Saalam.*
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara Roadrick Mpogolo akifungua kikao cha makatibu wa Vijana wa Mikoa Tanzania Leo ukumbi wa Kamati Kuu afisi ndogo ya CCM Lumumba.* kazi inaendelea kujenga Chama na jumuiya zake zote bara na visiwani. Kidumu Chama Chamapinduzi Ccm jumuiya iliyo imara.
Post a Comment