Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,Paul Makonda ametoa yake ya moyoni kuhusu ugomvi unaoendelea kati ya wasani Alikiba na Diamond.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Makonda ameandika maneno yafuatayo akiwa ameambatanisha kipande cha video ya wimbo wa Alikiba "Seduce Me"
"Tofauti zenu mimi nazipenda, kwani zinaleta ushindani mzuri kwenye mziki. Ila naomba mzingatie sheria na Utamaduni wetu.." Ameandika Makonda
Post a Comment