Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWS ... Mahakama nchini Kenya yafuta matokeo ya Urais .... Yaamuru uchaguzi urudiwe
BREAKING NEWS ... Mahakama nchini Kenya yafuta matokeo ya Urais .... Yaamuru uchaguzi urudiwe
#BREAKINGNEWS:Mahakama ya juu zaidi nchini Kenya yafuta ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta, Wakenya kurudia uchaguzi katika siku 60 zijazo.
Mahakama ya juu iliyokuwa inasikiliza Kesi ya uchaguzi nchini Kenya imefuta uchaguzi huo wa Kenya. Uchaguzi utarudiwa Ndani ya siku 60 sheria inasema hivyo na watakao ingia kwenye kinyanganyiro ni wawili tu Raila na Uhuru tu.
Post a Comment