Nikiwa Kama Kijana Wa CCM Naomba Nitumie Fursa Hii Adhimu Ya Uandishi Wa Makala Hii Kwaajili Kumpongeza Ndugu Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Tanzania Shaka H.Shaka kwa taarifa nzuri na yenye mashiko kwa msitakabali wa Jumuiya ya Vijana na Chama kwa ujumla, hakika ameonyesha ukomavu mkubwa kisiasa ni jambo jema sana kuwa na Mtendaji Mkuu wa Jumuiya kama Shaka ni hazina kwa Chama na Taifa kwa Ujumla
Shaka Amekuwa Mwepesi Sana kubadilika kulingana na wakati uliopo,Lakini Pia Ufatiriaji Wake Wa Mambo Uliotukuka Unanifanya Nami Kama Kijana Wa CCM Kuwa Na Mengi Sana Ya Kujifunza Kutoka Kwake.Umakini Wake Katika Utendaji Wake Umekuwa Ukimfanya Kutambua Kwa Uharaka Kwamba Vijana Na Viongozi Wa Chama Wanataka Nini Na Wanasemaje Hivyo Usaidia Jumuiya Yetu Kwenda Kwa Kufata Matakwa Chama Na Viongozi Wetu.
Lakini Pia Kama Kijana Najifunza Sana Mengi Kutoka Kwake Ndugu Shaka Hamdu Shaka Kwani Amekuwa Mwepesi Sana Kukubaliana na kupokea hoja zote za wale wanaomkosoa na kuzifanyia kazi na kurekebisha pale panapo stahili kurekebishwa tena ndani ya wakati.Hivyo Kama Kijana Najifunza Kujisahisha Pale Ninapoteleza Na Kurekebisha Na Kufanya Mambo Yazidi Kwenda Vyema Zaidi.
Lakini Pia Nikiwa Kama Kijana Wa CCM Najifunza Kutoka Kwake Namna Anavyosimamia Kanuni, Katiba Na Miongozo Yote Ya Chama Chetu Bila Kujali Gharama Yake Haswa Pale Anapominya Fursa Za Wahuni Wachache Ambao Wenyewe Siku Zote Wamekuwa Wakijiona Wapo Juu Ya Kanuni,Katiba Na Miongozo Ya CCM.Na Hivyo Kuongeza Mwanya Kwa Wanachama Haswa Vijana Kumtumikia Mtu Na Sio Chama Sababu Ya Hao Wahuni.
Ndugu Kaimu Katibu Mkuu Amekuwa Siku Zote Akiendana Na Dhana Nzima Ya Mhe Mwenyekiti Wa CCM Taifa Ndugu Dkt John Pombe Magufuli Kwa Kuakikisha Kwamba Kanuni, Katiba, Misingi Na Miongozo Yote Ya CCM Inasimamiwa Vyema Na Viongozi Wote Wachama Na Mwanachama Kwa Ujumla Kwani Misingi Yote Ya Haki Na Usawa Upatikana Kutoka Kwenye Katiba,Kanuni Na Miongozo Ya CCM.Sasa Ilikufikia Hatua Ya Kukifanya Chama Chetu Kuendeleza Dhana Yake Ya Chama Cha Wanachama Lazima Misingi Hiyo Isimamiwe Na Wanachama Wote Pamoja Na Viongozi Wetu.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
********MWISHO********
Post a Comment