Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma. kushoto ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas kashililah
Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha pamoja kilichoongozwa na Spika wa Bunge katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma. kulia ni Mhe. Andrew Chenge, Mhe. Stanslaus Nyongo (katikati) na Mhe. Christine Ishengoma (kushoto).
Wajumbe wa kamati ya uongozi wakimsikiliza Spika wa Bunge akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, ikiwa ni Maandalizi kabla ya kuanza Mkutano wa 8 wa Bunge la 11 unaoendelea kesho tarehe 5 Septemba, 2017 Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Post a Comment