Baadhi ya waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari nguli na Mkuu wa Wilaya katika wilaya kadhaa Muhingo Rweyemamu, baada ya kuwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuagwa mwili ya marehemu, kabla ya kupelekwa kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni pia Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari Tanzania Theophil Makunga akitoa salam za rambi rambi wakati wa shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu Muhingo Rweyemamu.
Makamu Mwenyekiti wa MISA-Tanzania Jane Mihanji akitoa salam za rambirambi
Mhariri wa Nipashe akitoa salam za rambirambi
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe akitoa salam za rambirambi
Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanai Mstaafu Ngemela Lubinga akitoa salam za rambirambi
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Mwalimu akitoa salam za rambirambi
Mkuu wa mkoa wa dar es Salaam, Paul Makonda akitoa salam za rambirambi
Waziri Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. harrison Mwakyembe akitoa salam za rambirambi
Familia ya marehemu Muhingo Rweyemamu
Jeneza lenye mwili likiandaliwa kabla ya mwili kuagwa
Mwili ukiandaliwa kabla ya kuagwa
Waziri Mwakyembe akiongoza kuaga mwili
Makonda akiaga mwili
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiaga mwili
Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu
Waombolezaji wakiaga mwili. Aliyeko usawa wa jeneza ni katibu tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo akitoa pole kwa familia ya marehmu
Mkuu wa Wilaya Mstaafu Jacqueline Liana akitoa polea kwa mjane wa marehemu
Aliyekuwa mpigapicha wa siku nyingi Athumani Hamis akitoa pole kwa mjane wa marehemu
Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel akilimali akipita kuaga mwili
Umati wa waombolezaji ukiwa tayari kwenda makaburini kuzika mwili wa marehemu baada ya kuuaga
Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili kulipeleka kwenye gari
Waombolezaji wakiiingiza jenela lenye mwili kwa ajili ya kwenda kuzika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam, baada ya kuaga mwili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, leo. PICHA NYINGI ZA KILA TUKIO NA WAOMBOLEZAJI TAFADHALI/>BOFYA HAPA
Na CCM Blog
Loading...
Post a Comment