Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Chadema yapata pigo Udiwani



Chadema yapata pigo Diwani aliye kuwa atetee nafasi yake ya Udiwani Kata ya Saranga Wilaya ya Ubungo, Bw Kinyafu ametupwa Nje kutokana na mapingamizi aliyo wekewa na Cuf

Pia Mgombea wa Act Wazalendo naye katupwa kutokana na kutokidhi vigezo pia aliwekewa pingamizi na Chama Cha Wananchi Cuf

Sasa wagombea walioteuliwa wanabaki wawili wa Ccm na Cuf tu ! Ktk kugombea Udiwani Kata ya Saranga Wilaya ya Ubungo !!
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top