*UMOJA WA VIJANA WA CCM*
*TAARIFA MUHIMU.*
——————————————
Kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa kitafanyika kesho Jumapili 15/10/2017 katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Dodoma saa 4:00 asubuhi.
Tunawajuilisha wale wote waliomba nafasi; Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa, Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kundi la Vijana nafasi 5 za Taifa, wajumbe wa Baraza Kuu Taifa nafasi 5 za Taifa.
Kufika kwa muda ulioanishwa.
Aidha tunaomba kuwajuilisha badiliko la ukumbi wa kikao, baada ya kufanyika ukumbi wa NEC Makao Makuu kikao hicho kitafanyika katika ukumbi wa CCM mkoa wa Dodoma.
Nawatakia maandalizi mwema.
*Jokate U. Mwegelo*
*Kny: Katibu Mkuu*
*14/10/2017*
Post a Comment