![Image may contain: 1 person, smiling, standing](https://scontent.fnbo1-1.fna.fbcdn.net/v/t1.0-9/23621291_945414185624823_2236445357907351398_n.jpg?_nc_eui2=v1%3AAeHedUTbT5MqWRCwT-pGiUaL0sQrz_513FlaV0A7-0e2BLqdQ2_LDkcsTsdq25S4AF25Ueu2UWnps0HxDjX1it2Z9lF3Fie8hHi6OnAauMiWug&oh=f5908a6adfb3e3d03946bc4c377ac5e3&oe=5A9FCC1F)
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka waliochapisha habari waliyopewa na Mbunge Zitto Kabwe, kuomba radhi katika kurasa zao za mbele ndani ya siku tano kuanzia leo.
Waandishi na wahariri hao wamedaiwa kuchapisha taarifa za siri za kikao cha Bunge cha Kamati ya maadili iliyokuwa ikimuhoji mbunge Zitto Kabwe ambaye anadaiwa kuzisambaza taarifa hizo kwa baadhi ya vyombo vya habari kinyume na sheria.
Post a Comment