Umoja wa Vijana Wa CCM umefanikiwa kupata Mwenyekiti mpya ambaye ni Ndg Kheri James kufuatia uchaguzi uliomalizika hivi punde tu huko mjini Dodoma.<br />Mwenyekiti huyo mpya aliibuka kidedea baada ya kupata kura 319 kati ya kura 583.Mgombea nwingine katika nafasi hiyo alikuwa Ndg Thobias Mwesiga.
on Monday, December 11, 2017
Post a Comment